Kaimu Kamanda Akama alisema kuwa uchunguzi wa haraka ulibaini kuwa Sikaluzwe siyo askari polisi, bali ni mgambo aliyekuwa anajifanya askari kwa malengo ambayo hayajathibitishwa. "Jeshi la Polisi Mkoa ...
Syria wakati huu ambapo kundi la waasi wa M23 na Jeshi la Ulinzi la Rwanda (RDF) wakiendelea na harakati zao kuelekea mji wa Bukavu, jimboni Kivu Kusini, baada ya kuchukua udhibiti wa Goma, mji mkuu ...
Imesema OHCHR. Aidha OHCHR imeeleza kuwa imerekodi matukio ya ukatili wa kingono unaohusiana na migogoro, vinavyodaiwa kufanywa na jeshi la serikali ya DRC na wapiganaji wa Wazalendo katika eneo la ...
GOMA : SERIKALI ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) imethibitisha leo kuwa jeshi la Rwanda linahusika katika mapigano yanayoendelea huko Goma, ambako waasi wa M23 wanadai kuteka mji huo. Msemaji ...
Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo imethibitisha hivi leo uwepo wa jeshi la Rwanda huko Goma, ambako waasi wa M23 wamedai kuuteka mji huo. Msemaji wa serikali ya Kongo Patrick Muyaya ...
Tryphon Kin-Kiey Mulumba, mwenyekiti wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga, alisema bado jeshi la Kongo lilikuwa ndilo linaloudhibiti uwanja huo wa ndege. Soma zaidi: M23 yatangaza kujiondoa vijiji ...
msemaji wa jeshi la Malawi almeliambia shirika la habari la AFP Jumamosi (Januari 25). “Tunathibitisha kupoteza askari wetu watatu mashujaa waliokuwa sehemu ya vikosi vya Jumuiya ya Maendeleo ...
Arusha. Kampuni ya Utalii ya Leopard Tours imetoa pikipiki 20 kwa Jeshi la Polisi ili kuimarisha usalama na kukuza sekta ya utalii mkoani Arusha. Pikipiki hizo zimekabidhiwa leo Ijumaa Januari 24, ...
“Siku tukiheshimu kilimo cha nchi hii kama tunavyoheshimu Mwenge basi tutaondoa umasikini,” amesema Bashe ambaye pia mbunge wa Nzega. Pia amesema alikuwa Tanga akakutana na gari la Wizara ya Kilimo ...
ISRAEL : MKUU wa jeshi la Israel Meja jenerali Herzi Halevi amejiuzulu, kutokana na kushindwa kuzuia uvamizi wa kundi la wanamgambo la Kipalestina la Hamas uliofanyika Oktoba 7 mwaka 2023. Katika ...
“Nilikuwa nistaafu mwisho wa msimu huu, hivyo ndoto haijatimia, japokuwa ni muajiriwa wa Jeshi la Magereza lakini naweza kuibukia timu nyingine hata msimu ujao kwa kuwa lolote linawezekana,” alisema ...