Wakati yakifanyika mashindano ya kuhifadhi Quran kwa Afrika, Mohamed Amejair (23) kutoka Afrika Kusini ameibuka kidedea na kujinyakulia kitita cha Sh30 milioni, huku Rais Hussein Mwinyi ...
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera Bunge na Uratibu) William Lukuvi amesema Tanzania imebahatika kuongozwa na viongozi ...
Changamoto ya gharama inayowakabili wazazi ambao watoto wao wana matatizo ya moyo, huenda imepata ufumbuzi baada ya kampuni ...
DAR ES SALAAM; RAIS wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi amesema Tanzania imepata manufaa na heshima kwa kuandaa mashindano ya 25 ...
SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu nchini (TFF), safari hii halicheki na mtu. Limeendelea kuvifungia viwanja ambavyo linaona ...
SHEIKH Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Walid Alihad, amesema maendeleo ya jamii yoyote yanategemea uchumi na uwekezaji .
Siku chache baada ya chama tawala nchini Uganda, NRM kutangaza kuyakataa matokeo ya uchaguzi mdogo wa ubunge kwenye eneo la Kawempe, rais Yoweri Museveni, sasa ametangaza kuanza kwa uchunguzi ...
"Nitazungumza na Rais Putin siku ya Jumanne," Donald Trump amewaambia waandishi wa habari ndani ya ndege ya rais, Air Force One, na kuongeza kuwa "kazi kubwa imefanywa." "Mambo mengi tayari ...
Putin alisema anaelewa wito wa Trump wa kuzingatia masuala ya kibinadamu. Ofisi ya rais wa Urusi inasema Putin alikutana na mjumbe maalum wa Trump, Steve Witkoff, juzi Alhamisi jijini Moscow.
Mark Carney ameapishwa kuwa waziri mkuu mpya wa kwanza wa Canada tangu mwaka 2015. Amelenga kuzungumza na Rais wa Marekani Donald Trump juu ya ushuru mkali uliowekewa nchi yake. Carney aliwahi ...