Kauli hiyo ni mwendelezo wa zilizotolewa awali kwa nyakati tofauti na Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi na Rais Samia Suluhu Hassan alipofungua hoteli ya Kisiwa cha Bawe, Unguja wakati ...
Tayari baadhi ya waliotangaza nia ya kuutaka urais kupitia vyama vyao, wameshaweka wazi vipaumbele vyao endapo watapewa ...
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera Bunge na Uratibu) William Lukuvi amesema Tanzania imebahatika kuongozwa na viongozi ...
DAR ES SALAAM; RAIS wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi amesema Tanzania imepata manufaa na heshima kwa kuandaa mashindano ya 25 ...
MASHINDANO ya 25 ya kusoma Quran Tukufu ya Mabara yote Duniani, yanatarajiwa kufanyika nchini katika Uwanja wa Benjamin Mkapa ...
TFF sasa hivi imekuwa haina masihara na viwanja ambavyo vinashindwa kutimiza vigezo vya kutumika kwa ligi ambapo ...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa baraza la mapinduzi Dkt. Hussein Ali Mwinyi anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika kilele cha ...
Rais wa Marekani Donald Trump amechelewesha ushuru wa forodha kwa bidhaa zinazoingizwa nchini humo kutoka Mexico na Canada ikiwa ni siku mbili pekee tangu kuanza utekelezaji wake. Trump alisema ...
Baada ya mikutano huko Kinshasa, Lubumbashi na Ulaya na wadau wa kisiasa, ziara yao inaendelea katika nchi jirani. Walipokelewa siku ya Jumanne, Machi 4, na Rais wa Uganda Yoweri Museveni.
Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi umekuwa ngome imara ya Tabora United kwani ... kwa ajili ya kufanyiwa matibabu kwa lengo la kuwahi mapema kabla... Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania, (TFF) na baraza la ...
Wakuu wa nchi za SADC na EAC wameteua wawezeshaji watatu wapya katika mgogoro wa mashariki mwa DRC, zaidi ya wiki mbili baada ya mkutano wao wa mwisho wa pamoja Februari 8 nchini Tanzania.
Rais wa Burundi Evariste Ndayishimiye, amekutana na mwenzake wa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo Felix Tshisekedi, kwa mazungumzo kuhusu mzozo unaolikumba eneo la mashariki mwa Kongo. Rais ...