Idara ya kipolisi ndani ya jeshi la DRC inaripoti kuwashikilia wanajeshi ... pamoja wa viongozi wa kanda uliofanyika Dar es Salaam, Tanzania, kati ya Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) na Jumuiya ...
Kwa takribani miongo miwili, Jeshi la Upinzani la Bwana ... litasafirisha mafuta ghafi kutoka wilaya ya Hoima magharibi mwa Uganda hadi bandari ya Tanga nchini Tanzania. Uganda inatarajiwa ...
Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania(JWTZ) kwa ushirikiano wa Shirikisho la Soka Tanzania(TFF) wameandaa mafunzo ya Soka la Ufukweni(Beach Soccer) kwa Maofisa na Askari kwa lengo la kuinua mchezo ...
mbinu maalum na uelewa wa mazingira ya kipekee ya Uwanja wa mchanga. Amesema Jeshi la wananchi wa Tanzania wataendelea kushirikiana na Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) na wadau mbalimbali ...
Kamishna Jenerali wa Zimamoto na Uokoaji, John Masunga akitoa taarifa ya jeshi hilo kwenye kikao cha Baraza dogo la wafanyakazi wa jeshi hilo nchini ... vituo 80 vya zimamoto na uokoaji katika mikoa ...
Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania (IGP), Camillus Wambura, akiongea wakati wa kufunga mafunzo ya uongozi mdogo wa jeshi hilo katika ngazi ya Sajini na Koplo wilayani Hai mkoani kilimnjaro. Moshi. Mkuu ...
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limesema kuanzia Februari 18 hadi 22,2025 limewakamata watuhumiwa 26 kwa tuhuma za kujihusisha na biashara haramu ya upatu mtandaoni bila kuwa na kibali ...
Moke aliyemtaja Mbwana Samatta anayecheza kwa sasa PAOK ya Ugiriki kama nembo ya Tanzania katika soka la kulipwa kwa kipaji kikubwa alichonacho, alisema ndani ya soka amekumbana na mambo mengi.
Baada ya kumuua kiongozi wake katika shambulio la ndege isio na rubani katikati ya wiki, jeshi la Kongo limeshambulia tena kundi la kujilinda la Twirwaneho huko Kivu Kusini siku ya Ijumaa ...
Takriban watu 46 wamepoteza maisha baada ya ndege ya jeshi la Sudan kuanguaka katika eneo la makaazi nje kidogo ya mji wa Khartoum. Wizara ya afya Sudan imesema watoto ni miongoni mwa ...
Jeshi la Uganda limethibitisha siku ya JumapiliMAchi 2, 2025 kwamba limetuma wanajeshi katika mji mwingine wa kaskazini mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kupambana na makundi yenye ...
Karibu watu 46 wamekufa baada ya ndege ya kijeshi ya Sudan kuanguka jana Jumanne katika mji wa Omdurman. Kulingana na maafisa wa Afya na jeshi, wanajeshi na raia walikufa katika eneo la ajali ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results