Katika shtaka la kuongoza genge la uhalifu inaidaiwa kuwa kati ya Januari Mosi, 2025 na Februari 10, 2025 mahali pasipojulikana ndani ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania washtakiwa wote kwa pamoja ...
Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania (IGP), Camillus Wambura, akiongea wakati wa kufunga mafunzo ya uongozi mdogo wa jeshi hilo katika ngazi ya Sajini na Koplo wilayani Hai mkoani kilimnjaro. Moshi. Mkuu ...
RIPOTI ya utafiti kuhusu afya ya akili imebaini vijana wa kitanzania wana ustahimilivu mkubwa wa akili, wakipata alama za juu katika ustawi eneo hilo kati ya nchi 76 zilizofanyiwa utafiti duniani.
Wajumbe wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa wameelezea wasiwasi mkubwa kuhusu kusainiwa kwa hati inayokusudia kuunda mamlaka sambamba ya utawala nchini Sudan wakati huu ambapo mapigano kati ya ...
Jeshi la Uganda limethibitisha siku ya JumapiliMAchi 2, 2025 kwamba limetuma wanajeshi katika mji mwingine wa kaskazini mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kupambana na makundi yenye ...
Kundi la Hamas linatafuta kuhamia awamu ya pili, ambapo kundi hilo linatakiwa kuwaachilia mateka 59 waliosalia kwa mabadilishano ya jeshi la Israel kujiondoa kabisa kutoka Ukanda wa Gaza.
Takriban watu 46 wamepoteza maisha baada ya ndege ya jeshi la Sudan kuanguaka katika eneo la makaazi nje kidogo ya mji wa Khartoum. Wizara ya afya Sudan imesema watoto ni miongoni mwa ...
Karibu watu 46 wamekufa baada ya ndege ya kijeshi ya Sudan kuanguka jana Jumanne katika mji wa Omdurman. Kulingana na maafisa wa Afya na jeshi, wanajeshi na raia walikufa katika eneo la ajali ...
Birth-related mortality is a major contributor to the burden of deaths worldwide, especially in low-income countries. The Safer Births Bundle of Care program is a combination of interventions ...
Dar es Salaam. Benki kuu ya Tanzania (BoT) imesema haijawahi kufanya mazungumzo wala kutoa leseni ya kuruhusu kampuni ya Leo Beneath London (LBL) kufanya shughuli zake nchini kama taarifa za ...
DIRA ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) ni kuhakikisha inatengeneza mifumo ya kuvutia zaidi ya wanasoka wa kike milioni moja kucheza katika ligi za ngazi mbalimbali hapa nchini. Ni lengo ...
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limesema kuanzia Februari 18 hadi 22,2025 limewakamata watuhumiwa 26 kwa tuhuma za kujihusisha na biashara haramu ya upatu mtandaoni bila kuwa na kibali ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results