VIJANA wanne wakazi wa Dar es Salaam wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kinondoni ... na Polycap Haule (29), wanadaiwa kukwepa kodi na kuisababishia Mamlaka ya Mapato Tanzania ...
WATETEZI wa haki za mtoto wa kike wanawanyooshea kidole wabunge kwa kushindwa kumtetea, anayekandamizwa na Sheria ya Ndoa. Aidha, wanakosolewa hawakusimamia uamuzi wa mahakama wa kuitaka ... wa Jukwaa ...
Hata hivyo maoni ya wengine ni kuwa kifo hicho ilikuwa kazi ya Mungu ambayo haina makosa. Mahakama katika mji wa San Isidro, mjini Buenos Aires, itasikiliza ushahidi wa karibu mashahidi 120 na ...