Uamuzi huo wa Mahakama ya Rufaa haukutarajiwa ... eneo la m² 4,000 katika Kaunti ya Migori, kwenye mpaka na Tanzania, ambapo analima mahindi, maharagwe, karanga, viazi vitamu na mihogo.
Kwa pesa ya Tanzania hiyo ni karibu zaidi ya 15.3bilioni ... aliachiliwa huru baada ya mahakama kutopata ushahidi wa kutosha kuthibitisha ushiriki wake. Baada ya wizi huo, ndani ya siku chache ...
Novemba 2020, Tanzania ilithibitisha kujiondoa rasmi kwenye kipengele cha Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu (AfCHPR) kinachoruhusu watu binafsi na mashirika yasiyo ya kiserikali ...
Mahakama Kuu Masjala Ndogo Dar es Salaam, imeelekeza rufaa dhidi ya Kocha Liston Katabazi aliyoikata dhidi ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), akipinga uamuzi wa Mahakama ya Hakimu Mkazi, ...
Dar es Salaam. Mahakama Kuu Masjala Ndogo Dar es Salaam, imeelekeza rufaa dhidi ya Kocha Liston Katabazi aliyoikata dhidi ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), akipinga uamuzi Mahakama ya ...
Katika kesi ya uhujumu uchumi inayowakabiliwa washtakiwa 13, wakiwemo waliokuwa watumishi wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), umeieleza Mahakama kuwa bado wanaendelea na uchunguzi dhidi ya kesi hiyo.
Kaimu Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Kanda ya Morogoro, Stephen Murimi Magoiga, alifungua semina hiyo na kusema kuwa ni muhimu kwa watumishi wa Mahakama kuitumia fursa hii kujifunza ili ...
Wito umeitolewa kwa wananchi kuzingatia matumizi sahihi ya alama za taifa, ikiwemo Ngao ama Nembo ya Taifa, Bendera ya Taifa, na Wimbo wa Taifa, huku wakihimizwa kuendelea kujifunza kuhusu matumizi ...
UONGOZI wa Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) umeipa ruhusa Yanga kwenda Mahakama ya Kimataifa ya Usuluhishi wa Michezo (CAS) kupinga uamuzi wa kuahirishwa kwa mchezo wao dhidi ya Simba uliokuwa uchezwe ...
MAHAKAMA Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es salaam iliyoketi katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemuhukumu mfanyabiashara, Khamis Luwonga ,38, kunyongwa hadi kufa baada ya kukutwa na hatia ya mauaji ...
amefikishwa kwa mara ya kwanza mbele ya Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) huko Hague. Anashutumiwa kwa uhalifu dhidi ya ubinadamu kwa kuamuru mauaji ya makumi ya maelfu ya watu nchini ...