Mchakato wa Katiba mpya Tanzania ni kama umeanza rasmi ... Mbali na watendaji wengine Rais alikutana na Waziri wa Nchi katika Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera,Bunge na Uratibu) Jenista Mhagama, Waziri ...
Mosi, Rais hakumteua waziri mkuu ndani ya siku 14 kama Katiba inavyoeleza Ibara ya 57(2) mara baada ya kuapishwa kulingana na agizo la muundo wa Baraza la Mawaziri na Serikali. Pili,kwa mujibu wa ...
Wakili Tenzi Nyundulwa aliyekuwa akiomba kibali cha mahakama ili afungue kesi kupinga hatua ya Rais Samia Suluhu Hassan ...
WIKI ya Sheria nchini ilifanyika katika mikoa mbalimbali, kwa ajili ya wananchi kuitambua na kupatiwa elimu ya sheria, jinai ...
Zipo taarifa kuwa baadhi ya makada wa CCM waliokuwa wakijipanga kuwania urais kwenye uchaguzi mkuu wa 2030, hawakufurahia ...
RAIS Samia Suluhu Hassan amesema ni muhimu kuimarisha utoaji haki ili nchi ipate manufaa katika utekelezaji wa ...
RAIS Samia Suluhu Hassan, amewataka majaji na mahakimu nchini, kuacha kuwa miungu watu katika utoaji wa hukumu na kuwataka watende haki kwa misingi ya sheria na Katiba ya nchi. Pia, amewasihi wakati h ...