Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Sera, Bunge na Uratibu, William Lukuvi amekutana na kufanya ...
CHAMA cha Walimu Tanzania (CWT) kimeitaka serikali kuwachukulia hatua ikiwezekana kuwaondoka katika nafasi zao watumishi ...
Sharaa pia aliahidi kutoa "tamko la katiba ... ya kuunda serikali jumuishi wakati wa mkutano na Sharaa, kulingana na ofisi ya mfalme wa Qatar. Soma pia: Kiongozi wa HTS Al-Sharaa ateuliwa kuwa ...
Mkutano wa pamoja wa EAC-SADC kuhusu mgogoro wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo umeitaka M23 na makundi mengine yasiyo ya ...
Rais Yoweri Museveni ameangazia suala la kukamatwa na kuzuiliwa kwa kiongozi wa upinzani Dr. Kizza Besigye, na kusisitiza ...
Wakili Tenzi Nyundulwa aliyekuwa akiomba kibali cha mahakama ili afungue kesi kupinga hatua ya Rais Samia Suluhu Hassan ...
Zipo taarifa kuwa baadhi ya makada wa CCM waliokuwa wakijipanga kuwania urais kwenye uchaguzi mkuu wa 2030, hawakufurahia ...
Anasema mchakato wa kuanzishwa kwa chuo kikuu hicho ulianza baada ya Rais wa Awamu ya Tano, Dk Salmin Amour Juma kuunda timu ...
Rais Ndayishimiye alipokelewa katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais, Sera, Uratibu na Baraza la Wawakilishi, Hamza Hassan Juma, ...
Kwa mujibu wa hati za kuitwa shaurini (samansi) zilizotolewa na ofisi ya Naibu Msajili ... waziri wa Mambo ya Ndani alikiuka ibara ya 26(2) ya Katiba ya nchi na kifungu cha 9(1) cha Sheria ya Uraia ...