Mchuano wa uchaguzi huo ulikuwa mkali, hasa kwa wagombea wawili; Lissu na Mbowe, wote waliwahi kuwa wabunge ... baina ya wafuasi wa pande hizo mbili. Uchaguzi huo uliohusisha nafasi ya Mwenyekiti, ...
Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar, Hemed Suleiman Abdulla, amewasilisha muhtasari wa mafanikio ya utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa kipindi cha 2020-2025, akieleza hatua ...
Inadhihirika kutokana na mijadala hii kati ya Rais wa Jamhuri na kikao cha wabunge wa kitaifa na maseneta kutoka mikoa hii miwili kwamba mji wa Goma unakumbwa na janga la usalama na kibinadamu ...
Wabunge wa Ujerumani hii leo wanatarajia kuupigia kura muswada tata wa sheria ya uhamiaji, siku chache baada ya kupitisha hoja ya marekebisho ya sheria za uhamiaji iliyopitishwa bungeni kwa ...
Wabunge wa Ujerumani wanakabiliwa na kibarua kigumu cha kupiga kura kwa mara nyingine Ijumaa, kuhusu hoja ya hivi karibuni iliyopitishwa na bunge inayotaka sheria kali zaidi ya uhamiaji. https://p ...
GAVANA wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Emmanuel Tutuba amependa ushirikiano unaofanywa baina ya Kampuni Airpay Tanzania na Wakala wa Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi Zanzibar (ZEEA) katika kuwafanya ...
Dodoma. Serikali imesema utapeli kwa njia ya mtandao bado ni tatizo huku ikaelezwa chanzo ni kukua kwa teknolojia. Hoja ya utapeli mtandaoni imebuka bungeni leo na Spika wa Bunge Dk Tulia Ackson ...
Dar/Mikoani. Baadhi ya wadau wa siasa nchini, wakiwemo wanazuoni, wamepongeza marekebisho madogo ya Katiba ya Chama cha Mapinduzi (CCM), wakieleza yataimarisha uwajibikaji na kudhibiti tabia ya ...
Baada ya kuchelewesha ... ya kutoa majina ya mateka watatu wa kwanza ambayo ilipaswa kuachiliwa siku ya Jumapili ili kubadilishana na idadi kubwa ya wafungwa wa Kipalestina. Orodha hiyo ...
Wakala wa Nishati Vijijini (REA) kwa kushirikiana na Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) inafanya utafiti wa tatu wa hali ya upatikanaji na matumizi ya nishati katika mikoa yote ya Tanzania Bara. Hayo ...
Girl Talk delivered new single “Believe in Ya” on Wednesday, enlisting Grammy winner T-pain and Yaeji for the eclectic track. The song is crafted around cut samples from Change’s 1981 disco ...