WATENDAJI wa uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapigakura, wameaswa kutekeleza majukumu waliyopewa, kwa kuzingatia sheria, kanuni, maelekezo na miongozo itakayotolewa na Tume Huru ya Taifa ya ...
HADHI ya Ligi Kuu Tanzania Bara iko hatarini. Misimu miwili iliyopita kulikuwa na malalamiko ya ratiba ya ligi kupanguliwa ...
Mkuu wa shirikisho la watendaji wakuu wa kampuni zenye ushawishi nchini Japani anasema kuwa ushuru wa forodha uliowekwa na Rais wa Marekani Donald Trump ni tishio kwa mitungo ya usambazaji ya ...
Akieleza zaidi Februari 21, mwaka huu chama hicho taifa kiliandaa mafunzo maalumu kwa watendaji wa chama ngazi ya tawi na kata kwa gharama za chama lakini cha kusikitisha viongozi hao walitoa fedha ...
Balozi Dk Pindi Chana, Naibu Waziri, Dunstan Kitandula Katibu Mkuu, Wizara ya Maliasili na Utalii, Hassan Abbasi pamoja na baadhi ya watendaji kutoka Wizara ya Maliasili na Utalii na taasisi zake.
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu amejitosa kuzungumzia sakata la barua ya malalamiko kuhusu uteuzi alioufanya wa viongozi watendaji wa juu na ... Katiba ya chama ...
Wizi huo unadaiwa kutaka kutekelezwa na baadhi ya watendaji wa halmashauri ya jiji la Arusha, baada ya kudai Sh552 milioni zilitakiwa kulipwa katika ununuzi wa eneo hilo badala ya thamani halisi ya ...
February 26th Slime Ya HB, also known as National Backdoor Day, refers to memes and jokes in which TikTokers joke about getting backstabbed or "slimed" by their friends or "homeboys" on February 26th, ...
JOTO la Uchaguzi ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), linazidi kupana huku mafunzo kwa watendaji wa chama hicho tawala yakivurugwa. Hatua hiyo inatokana na tukio la kustaajibisha lilotolea juzi katika ...
"Sisi tumepokea kauli ya kiongozi wetu mkuu ambaye maono yake ndio yametufikisha hapa tulipo sasa. Kwa hiyo kama watendaji hatuna namna isipokuwa kuchakata ili iweze kutekelezeka na wadau wengine." ...
Amazon international execs have opened up on its lean into romance-driven young adult drama and how it plans to keep surfing the YA wave. The two Spain-produced adaptations of Mercedes Ron’s ...
Matatizo hayo ya uamuzi sasa yamekuwa tatizo pia kwa wadau wengine wa Ligi Kuu, hasa makocha, viongozi na watendaji katika ngazi ya klabu wanaokerwa na kasoro hizo kiasi kwamba uvumilivu unawashinda ...