Picha: Mpigapicha Wetu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Zanzibar, Riziki Pembe Juma akimpokea Rais wa Namibia, Dk. Nangolo Mbumba alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa ...
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Hussein Ali Mwinyi amesema Zanzibar itaendelea kuimarisha ushirikiano na Romania katika nyanja mbalimbali za Maendeleo na Kiuchumi. Rais Mwinyi ...
Unguja. Mfumko wa bei kwa Januari 2025 Zanzibar umeongezeka na kufikia asilimia 5.27 kutoka asilimia 4.9 iliyorekodiwa Desemba 2024, huku bidhaa za mchele na ndizi zikichangia kwa kiwango kikubwa.
KIUNGO wa Yanga, Stephanie Azizi Ki na mwanamitindo, Hamisa Mobetto hatimaye wamemaliza utata baada ya mchana wa leo kufunga ndoa na kuanza maisha rasmi ya mke na mume. UNAJUA nini? Juzi, Yanga ...
Bwana Guterres amerudia wito wake kwa pande zote kuheshimu sheria ya kimataifa ya kibinadamu na sheria za kimataifa za haki za binadamu.
Picha: Ikulu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ... akiwasalimia abiria waliosafiri na treni ya reli ya kiwango cha kimataifa (SGR) katika Stesheni ya Tanzanite, Dar es Salaam. Picha:Ikulu ...