Jumuiya ya Ulaya (EU) imetoa ufadhili wa zaidi ya Sh17. 8 bilioni kwa asasi za kiraia 11 nchini Tanzania, kwa lengo la kukuza demokrasia kwa kujenga jamii yenye uwazi, haki, na ujumuishi ...
Wafanyabiashara na wawekezaji zaidi ya 33 kutoka Italia wamekutana na wenzao kutoka Zanzibar na Mamlaka ya Kukuza Uwekezaji Zanzibar (Zipa) kujadili maeneo ya uwekezaji ikiwemo nishati, kilimo ...
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Hussein Ali Mwinyi amesema Zanzibar itaendelea kuimarisha ...