Itashiriki katika majadiliano ya kieneo kuhusu suluhu za mizozo na itawakilishwa katika maeneo kama vile Mikutano ya Umoja wa Mataifa''. Kwake, yeye hatua tofauti aliyochukua rais Samia kuliongoza ...
Katika hotuba yake Kenyatta amemwomba Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan kuendeleza falsafa ya Hapa Kazi Tu aliyoiacha Magufuli kwa kuwa inawafanya Watanzania kuwa na moyo wa ushujaa na kusonga ...
Makamu huyo wa zamani wa rais ... mwenza wa Samia Suluhu Hassan. "Hatuna wagombea mbadala kwa mwaka 2025," iliandikwa kwenye mabango. "Tumetimiza mengi katika miaka minne iliyopita na ninaahidi ...
Jaji mkuu katika hotuba yake, amemweleza Rais kuwa iwapo suala la ardhi litawekwa vizuri, litasaidia kutatua matatizo mengi na mahakama itakuwa na migogoro michache, baada ya mingi kuishia ...
Tangu ameingia madarakani, tuzo mbalimbali zimemiminika kwa Rais Samia kwenye sekta za utalii, miundombinu, utawala bora na demokrasia kitaifa na kimataifa, zote hizo zikionyesha kutambua ...