Kwa mujibu wa taarifa ya CNBC, taifa jingine la Afrika linapangwa kuongoza juhudi za kurejesha mazungumzo ya amani.
MKUU Majeshi wa Uganda, Muhoozi Kainerugaba, ambaye ni mtoto wa Rais Museveni, amesema kuwa vikosi vyake vitadhibiti mji wa Kisangani, iwapo waasi wa M23 watachelewa kuuteka mji huo. Kupitia mtandao w ...
"Hussam Shabat, mwandishi wa habari aliyekuwa akishirikiana na Al Jazeera Mubasher, ameuawa katika shambulio la Israel ...
Mapigano mapya yamezuka mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo huku mataifa jirani yakijaribu kuufufua mchakato wa ...
Taarifa iliyotolewa leo mjini Kigali nchini Rwanda imesema kuwa, mamlaka ya Rwanda jana Jumapili iliunga mkono uamuzi wa kundi la waasi la M23 kujiondoa katika mji muhimu wa madini wa Walikale na ...
Serikali imeainisha sababu zinazomfanya Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, Profesa Mohamed Janabi, kuwa ...
Mkutano wa kila siku na umati wa watu, ambao umekuwa wa kitamaduni tangu kukamatwa kwa meya wa Istanbul mnamo Machi 19, ambaye ameteuliwa kuwa mgombea wa CHP katika uchaguzi wa rais wa 2028.
Waandishi wa habari kumi wa Uturuki, akiwemo mpiga picha kutoka shirika la habari la AFP, wamekamatwa siku ya Jumatatu, Machi 24, nyumbani kwao huko Istanbul na Izmir (magharibi), jiji la tatu kwa ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results