Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo Felix Tshisekedi ameishutumu Rwanda kuwa chanzo cha kukosekana kwa utulivu katika eneo hilo, katika kujibu vikali maoni ya waziri wa baraza la mawaziri wa ...
Waandamanaji mjini Kinshasa, nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, wamekuwa wakichoma picha za rais wa Rwanda na kurarua bendera za Rwanda huku waasi wa M23 wakidhibiti sehemu kubwa ya mji wa ...
Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo Felix Tshisekedi na mwenzake wa Rwanda Paul Kagame walikutana wiki iliyopita mjini Doha kwa mazungumzo yao ya kwanza tangu waasi wa M23 wafanye ...
Baada ya kukutana na rais wa Jamhuri ... yuko ziarani nchini Congo. Ziara hii ikiwa inachukuliwa na serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo kama vile shinikizo dhidi ya Rwanda pamoja na ...
Mkutano wa kila siku na umati wa watu, ambao umekuwa wa kitamaduni tangu kukamatwa kwa meya wa Istanbul mnamo Machi 19, ambaye ameteuliwa kuwa mgombea wa CHP katika uchaguzi wa rais wa 2028.
MKUU Majeshi wa Uganda, Muhoozi Kainerugaba, ambaye ni mtoto wa Rais Museveni, amesema kuwa vikosi vyake vitadhibiti mji wa Kisangani, iwapo waasi wa M23 watachelewa kuuteka mji huo. Kupitia mtandao w ...