MAMLAKA ya Udhibiti wa Mbolea Tanzania (TFRA) imetaja mwelekeo wake ni kuhamasisha uwekezaji zaidi katika viwanda vya mbolea ...
Mbunge wa Viti Maalum mkoani Shinyanga kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Salome Makamba, amempongeza Rais ...
Sudan Kusini inakabiliwa na wasiwasi wa kujipata tena kwenye vita vipya, kufuatia mzozo wa hivi punde kati ya vikosi vya rais ...
MKUU wa Mkoa wa Shinyanga Anamringi Macha, amesema ndani ya utawala wa miaka minne ya Rais Dk.Samia Suluhu Hassan katika mkoa ...
WADAU wa siasa wakiwemo viongozi wa vyama vya siasa vya upinzani wameipongeza Serikali ya Awamu ya Sita kwa kuimarisha ...
RAIS Samia Suluhu Hassan leo anatimiza miaka minne ya uongozi wake wa Awamu ya Sita tangu alipoapishwa Machi 19, 2021 ...
Ilianza siku moja, ukakatika mwezi, mwaka, hatimaye leo ni miaka minne, tangu Samia Suluhu Hassan aapishwe kuwa Rais wa ...
Miaka minne yenye tafsiri mbili imekatika. Minne tangu kifo cha Rais wa tano, Dk John Magufuli na minne ya urais wa Samia ...
Machi 17, 2025 imetimia miaka minne tangu John Pombe Magufuli, rais wa tano wa Tanzania afariki dunia. Alikuwa mmoja ya ...
KATIBU Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais, Mhandisi Cyprian Luhemeja amesema kiasi cha Shilingi Bilioni 25 zimetengwa kwa ajili ya ...
Putin alikuwa akizungumza na waandishi wa habari wakati wa ziara ya mgeni wake kiongozi wa Belarus, Alexander Lukashenko, ...
Harakati za kumkomboa mwanamke na kulinda haki zake zimeanza kuzaamatunda huku juhudi zaidi zikihitajika ili kuleta usawa wa ...