Timu ya Rais Trump inahoji kwamba mahitaji ya kurejelea watu waliobadili jinsia katika vituo vya serikali na maeneo ya kazi kwa kutumia matamshi yanayolingana na utambulisho wao wa kijinsia yanakiuka ...
Wanajeshi 13 kutoka Afrika Kusini na watatu wa Malawi wameuawa kwenye mapigano yaliyoanza Ijumaa iliyopita, wengi wao wakiwa ni sehemu ya ujumbe wa kulinda amani wa SADC ulioepelekwa kwenye eneo ...
alangiza aMalawi za kufunikira kosankha mtsogoleri wa masomphenya komanso luntha ndi chidziwitso pa mmene chuma cha dziko chikuyendera. Tobias: Malawi ruled like a mafia Ndipo a Tobias – yemwe ...
Mchezaji huyo ambaye msimu uliopita aliifunga Simba mabao mawili katika mchezo wa kwanza wa Ligi Kuu Bara uliopigwa katika Uwanja wa Jamhuri, Morogoro ambao ulimalizika kwa Prisons kushinda 2-1. Mara ...
Kiongozi wa Qatar Sheikh Tamim bin Hamad Al-Thani azuru Syria na kuwa kiongozi wa kwanza wa nchi kuzuru taifa hilo tangu kuondolewa kwa Bashar al-AssadPicha: Jacquelyn Martin/AP Photo/picture alliance ...
Simba itavaana na Tabora United inayoelezwa baadhi ya nyota wake wapya waliosajiliwa dirisha dogo wakiwa hawajapata vibali kama ilivyokuwa timu hiyo katika mchezo wa kwanza wa ufunguzi wa msimu wa ...
Mkuu wa Ofisi ya Umoja wa Mataifa, UN ya Masuala ya Upunguzaji wa Silaha ameelezea hisia kali ya mzozo juu ya sera ya Rais wa Marekani Donald Trump ya "Marekani Kwanza" na hatua kama hizo ...
Ofisi ya Netanyahu ilisema ziara hiyo itafanyika tarehe 4 Februari na kwamba alikuwa kiongozi wa kwanza wa kigeni kualikwa katika Ikulu ya White House wakati wa muhula wa pili wa Trump. Afisa wa Ikulu ...
Wanajeshi watatu wa Malawi kutoka katika kikosi cha kulinda amani cha kikanda wameuawa katika mapigano mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, msemaji wa jeshi la Malawi almeliambia ...
Hali tete ya usalama inaendelea kuvuruga shughuli za kibinadamu katika sehemu nyingi za Syria, ikiwa ni pamoja na kaskazini-mashariki mwa nchi hiyo, mashariki mwa Aleppo, Deir-ez-Zor, Ar-Raqqa, na ...
Alitangaza kuwa jumla ya shilingi milioni 30 zimetengwa kwa zawadi za washindi wa mbio za kilomita 42, ambapo washindi wa kwanza wa mbio hizo kwa wanaume na wanawake kila mmoja atapokea shilingi ...
Washington Attorney General Nick Brown said his office was reviewing the crop of executive orders signed by newly sworn-in President Donald Trump on Monday, calling them “gravely concerning ...