Ameongeza kuwa DAWASA imechangia heshima ya Mkoa wa Pwani kwa kuwezesha uwekezaji, kwani uwepo wa maji ya kutosha unahamasisha maendeleo ya sekta ya viwanda. "Wawekezaji wanapokuja Pwani ...