Najaribu kupekua nyaraka za Wizara ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi) sioni jina hili, bali kilichopo ni Mkoa ...
Katibu Mkuu Ado alisema viongozi wa mikoa, majimbo na kata wameagizwa kuwaruhusu watiania kutumia ofisi za kata, majimbo na mikoa kutangaza nia zao. Kwa ngazi ya urais wa Tanzania ... kina mipango ...
Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma (PIC) Augustine Holle amesema kamati yake imeridhishwa na utekelezaji wa miradi ya miundombinu ya utalii inayofanywa na Mamlaka ...
Zaidi ya Sh15 bilioni ... mahitaji yake, pia ananufaika na ujuzi anaoupata kwenye kutekeleza mradi huo. Mkoa wa Tabora una mtandao wa barabara wa kilomita 2188.09, kati ya hizo kilometa 967 ni ...
"Mafunzo kazini yana umuhimu mkubwa wa kumsaidia mkunga kufanya kazi yake kwa usahihi ... unaoendeshwa katika mikoa ya Dar es Salaam na Shinyanga. "TAMA inashirikiana na Shirika la Umoja wa Mataifa la ...
Lakini jinsi hali ya hewa inavyobadilika, ndivyo pia ladha ya mojawapo ya vinywaji maarufu zaidi duniani inavyopungua. Kwa ladha yake ... mikoa ambayo sasa iko katika Cheki, Slovakia na Ujerumani ...
Waziri wa Afya, Jenista Mhagama. Na WAF – Malawi Serikali ya Tanzania kwa kushirikiana na wadau wa Sekta ya Afya imefanya maendeleo makubwa katika kujenga uwezo wa kukabiliana na dharura za afya ikiwa ...
Kalenda ya awali iliyotolewa na FIA ilionyesha mbio za Mountain Gorilla za Rwanda ndizo zingefunga msimu wa mwaka 2025, mwezi Novemba baada ya Tanzania kukamilisha raundi yake mwezi Septemba mwaka huu ...
MSHAMBULIAJI wa Simba, Lionel Ateba amemtaja beki wa timu hiyo, Che Fondoh Malone kama mtu aliyechangia kwa kiasi kikubwa kuzoea haraka maisha ya ndani na nje ya uwanja baada ya kujiunga na klabu hiyo ...
Mramba amesema kongamano hilo litahudhuriwa na wataalamu mbalimbali kutoka ndani na nje ya Tanzania na pia kutakuwa na maonesho ya mbalimbali biashara za kiasili ambazo zitajumuisha wafanyabiasharai ...
Na Esther Mnyika, Mtanzania Digital Wahandisi nchini wametakiwa kufanya kazi kwa kuzingatia maadili, nidhamu, na uwajibikaji ili kuhakikisha taaluma hiyo inatoa mchango stahiki katika maendeleo ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results