Kikao hicho kimeanza hii leo Jumamosi jijini Dar es Salam nchini Tanzania kujadili suala la usalama na ile ya kibinadamu katika Mji wa Goma, Mji Mkuu wa Kivu Kaskazini. Nchi ya DRC inawakilishwa ...
Makamu huyo wa zamani wa rais ... mwenza wa Samia Suluhu Hassan. "Hatuna wagombea mbadala kwa mwaka 2025," iliandikwa kwenye mabango. "Tumetimiza mengi katika miaka minne iliyopita na ninaahidi ...
Dodoma. Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amepokewa na wakazi wa Dodoma baada ya kutunukiwa tuzo ya Gates Goalkeeper huku akisema tuzo hiyo ni ya wahudumu wa sekta ya afya na Watanzania wote. Tuzo ...
Chama tawala nchini Tanzania, Chama cha Mapinduzi (CCM) kimepitisha azimio la kumteua Rais Samia Suluhu Hassan kuwa mgombea wa nafasi ya urais katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika baadae ...
RAIS Samia Suluhu Hassan, amesema amesikitishwa na taarifa ya kifo cha Baba wa Taifa la Namibia na Rais wa Kwanza wa taifa hilo, Sam Nujoma. Ametuma salamu za rambirambi kwa Wanamibia kutokana na kifo ...
Dar es Salaam. Licha ya ukubwa wa hadhi na heshima ya Global Gates Goalkeeper Award aliyotunukiwa Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ukweli ni kwamba hiyo siyo tuzo yake ya kwanza katika maisha ...
MKUU wa Wilaya ya Ilala, Edward Mpogolo amesema kuwa tuzo ya ‘The Gates Global Goalkeeper’ aliyoipata Rais Samia Suluhu Hassan imeleta heshima kwa Halmashauri ya Jiji, Mkoa wa Dar es salaam na taifa ...
Rais Samia ambaye pia ni mgeni rasmi katika kilele cha Maadhimishi ya miaka 48 ya CCM, ameyasema hayo leo Februari 5, 2025 katika maadhimisho hayo yaliyofanyika katika uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma, ...
Rais Samia amepewa Tuzo hiyo katika kipengele cha mapambano dhidi ya vifo vya wamama wajawazito na watoto wachanga chini ya umri wa miaka mitano.
Januari 19, 2025 Chama Cha Mapinduzi (CCM), ambacho ndio chama tawala kinachoendesha serikali nchini Tanzania kiliazimia na kumthibitisha Rais Samia Suluhu Hassan kuwa mgombea wake wa Urais ...
Katika hafla hiyo ya chakula cha mchana, Rais Samia amezungumza mambo mbalimbali, huku akimtaka Waziri wa Biashara kuangaliwa suala la wageni kufanya biashara inayofanywa na wenyeji. “Haiwezekani ...