Rais Dk Samia Suluhu Hassan. RAIS Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika Mkutano Mkuu wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT), utakaofanyika Februari mwaka huu jijini Mwanza.
RAIS wa Marekani, Donald Trump, akiwa takribani wiki mbili katika IKULU ya White House, ameionya Jumuiya ya nchi zinazoinukia ...
Chanzo cha usalama kililiambia shirika la habari la AFP kwamba gereza linalowashikilia wafungwa 3,000 "liliteketezwa kabisa" na kwamba kizuizi hicho kilisababisha vifo. Rais wa Kenya William Ruto ...
Soma pia: Kiongozi wa HTS Al-Sharaa ateuliwa kuwa Rais wa mpito Syria Ziara ya Amir huyo Damascus ilikuwa ya kwanza kufanywa na mkuu wa nchi tangu waasi wanaoongozwa na kundi la HTS wachukue ...
Rais wa Marekani ... China na Afrika Kusini. Mapema mwaka 2024 Iran, Misri, Ethiopia na Umoja wa Falme za Kiarabu pia zilijiunga katika Jumuiya hiyo, huku Indonesia ikijiunga nao mwanzoni mwa ...
RAIS Samia Suluhu Hassan kesho anatarajia kuzindua Sera ya Elimu na Mafunzo ya Mwaka 2014 Toleo la 2023. Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo na Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson ...
Katika hafla hiyo ya chakula cha mchana, Rais Samia amezungumza mambo mbalimbali, huku akimtaka Waziri wa Biashara kuangaliwa suala la wageni kufanya biashara inayofanywa na wenyeji. “Haiwezekani ...
Dar es Salaam. Rais Samia Suluhu Hassan ambaye pia ni Mwenyekiti wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC-Organ) ameongoza mkutano wa dharura wa wakuu wa ...
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ameteuliwa kwa kauli moja na wajumbe wa chama cha mapinduzi CCM kupeperusha bendera ya chama hicho wakati wa uchaguzi mkuu mwezi Oktoba. Tunachambua hatua hii.
Muhula wake wa kwanza kama rais ulikuwa kati ya 2017 na 2021. Akiwa na umri wa miaka 78 na miezi 7, Trump ni rais mteule mwenye umri mkubwa zaidi katika historia ya Marekani. Hafla ya uapisho ...
Makamu huyo wa zamani wa rais ... mwenza wa Samia Suluhu Hassan. "Hatuna wagombea mbadala kwa mwaka 2025," iliandikwa kwenye mabango. "Tumetimiza mengi katika miaka minne iliyopita na ninaahidi ...
DODOMA – Rais Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani Dk. Tedros Adhanom Ghebreyesus, Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma leo Januari 20. Rais wa Jamhuri ya ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results