Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania, Emanuel Tutuba amesema Noti Mpya za Tanzania zenye saini ya Waziri wa Fedha, Dk. Mwigulu Lameck Nchemba na yeye mwenyewe, za toleo la mwaka 2010, zitaingia kwenye ...
Rais wa mpito wa Syria ... wa Qatar yaligusa ujenzi mpya katika nchi hiyo iliyoharibiwa na takriban miaka 14 ya vita vya wenyewe kwa wenyewe. Tofauti na nchi nyingine za Kiarabu, Qatar ...
Mshtakiwa alifikishwa mahakamani huko Januari 7, 2025 na kusomewa shtaka la kuvaa sare za Jeshi la Wananchi wa Tanzania bila ruhusa ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mshtakiwa huyo alikiri ...
The story of Pretoria-born photographer Ernest Cole, who died in exile 35 years ago with one book of photographs and little else to his name, is still being recovered. The methods of this recovery ...
Sheria mpya za Israel zinazopiga marufuku Shirika la Umoja wa Mataifa la msaada kwa wakimbizi wa Kipalestina, UNRWA, zilitarajiwa kuanza kutumika leo, zikileta mabadiliko makubwa katika shughuli zake ...
Hatua hiyo ya Israel inakuja baada ya kundi la Hamas kutangaza kuwa litawaachilia huru mateka wengine watatu zaidi, akiwemo raia mmoja wa kike, kufikia mwisho wa mwezi huu. Picha za video ...
Calves of the endangered Masai giraffe and other juvenile African wildlife are being illegally exported from Tanzania to the Sharjah Safari in Al Dhaid in the United Arab Emirates (UAE ...
Waasi wa Houthi wa Yemen wamewaachilia huru siku ya Jumamosi wafungwa wa kivita wapatao 153. Hii ni sehemu ya juhudi zao za kupunguza mvutano baada ya kufikiwa kwa makubaliano ya kusitisha ...
Freeman Mbowe, ambaye amekuwa Mwenyekiti wa chama hicho kwa kipindi cha miongo miwili, kupitia mtandao wake wa X zamani ukiitwa Twitter amempongeza mrithi wake na mkamu wake wa zamani Tundu Lissu ...
Waziri wa Fedha, Dk Mwigulu Nchemba (kushoto) na Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Emanuel Tutuba wakionyesha mfano wa noti mpya za Tanzania zitakazongia kwenye mzunguko kuanzia Februari mosi, ...
Tanzania has confirmed an outbreak of Marburg virus disease following the identification of a positive case in the north-western Kagera region. President Samia Suluhu Hassan announced it during a ...
Wakati huo huo Israel imewaachilia huru wafungwa ... wa Umoja wa Mataifa, ikiwa ni pamoja na 300 kuelekea kaskazini mwa Ukanda wa Gaza. Wanawake watatu walioachiliwa baada ya siku 471 za kifungo ...