Katika mwaka uliopita huko Gaza, "zaidi ya watoto 600,000 – ambao wana umri wa kwenda shule - hawakupata elimu," anasema msemaji wa Unicef, Saleem Oweis. "Tunaona jinsi migogoro na ukosefu wa ...
“Sisi kama CRDB, benki ya wazalendo, tunafanya kazi karibu na jamii, tumeona tushiriki matembezi haya, ili kuhamasisha jamii kuchangia kiasi hicho cha fedha,” alisema. Mwenyekiti wa Shule hiyo, Balozi ...
SERIKALI kupitia Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania – TAWA imekabidhi madawati 295 yenye thamani ya Sh millioni 25.9 kwa shule za sekondari na msingi mkoani Simiyu. Hatua hiyo inalenga ...
Hafla ya kuwapa zawadi wanafunzi hao ilifanyika mwishoni mwa wiki shuleni hapo na kushuhudiwa na wazazi wa wanafunzi hao walimu na uongozi wa shule za St Mary’s. Akizungumza kwenye hafla hiyo, Mkuu wa ...
Geita. Baraza la Madiwani Manispaa ya Geita limekerwa na vitendo vya uhalifu vinavyofanywa na vikundi vya vijana wahalifu kujificha eneo lililotengwa kwa ajili ya uwekezaji Kata ya Bombambili kuvuta ...
Unapozungumzia makuzi na malezi ya watoto katika zama hizi za utandawazi, unabaki na maswali mengi kwa wazazi na walezi, huku kila mmoja akitafakari ni namna gani anaweza kuushinda mtihani huo ...
Wakati huo huo imeripotiwa kundi hilo linasonga mbele kuelekea mji mkuu mwingine wa mkoa, hofu ya machafuko zaidi inazidi kuongezeka. Bonyeza hapo juu kwa taarifa kamili.