Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Steven Wasira. Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Steven Wasira, amewakosoa wanaoshinikiza upatikanaji wa Katiba Mpya huku wakipuuzia ...
Janabi. Kisukari hupimwa kwa njia mbili; damu na mkojo. Utaalamu mpya kuongeza ufanisi. (Mtandao) Kwa mujibu wa wataalamu wa afya, ugonjwa wa kisukari ni ugonjwa sugu ambao mtu yeyote anaweza kuugua.
Freeman Mbowe, ambaye amekuwa Mwenyekiti wa chama hicho kwa kipindi cha miongo miwili, kupitia mtandao wake wa X zamani ukiitwa Twitter amempongeza mrithi wake na mkamu wake wa zamani Tundu Lissu ...
Serikali imetangaza nafasi 2,611 za ajira Februari 10, 2025 huku kati ya nafasi hizo asilimia 98 ni za walimu wa kada mbalimbali. ‘Kulambishwa asali’ ni msemo unaobamba siku hizi mitaani na hata ...
KIUNGO mpya wa JKT Queens, Elizabeth John amesema anatamani kufanya makubwa akiwa na timu hiyo kutokana na ubora wa timu hiyo. Kinda huyo alipewa mkono wa kwaheri na Alliance Girls aliyoitumikia kwa ...
KAMA ulikuwa na hamu kubwa ya kumuona winga mpya wa Yanga, Jonathan Ikangalombo akianza kuitumikia timu hiyo, taarifa njema ni kwamba siku si nyingi utamshuhudia akiliwakilisha chama lake hilo ...
Kiongozi huyo mpya alichaguliwa Oktoba 9, na kuongeza muda wa utawala wa Frelimo, ambao umekuwa madarakani kwa karibu miaka 50. Uchaguzi wake bado una upinzani mkubwa, hasa na mgombea wa upinzani ...
Mwenyekiti mpya wa Baraza la Vijana Chadema (Bavicha), Deogratius Mahinyila akiwa amebebwa na wajumbe baada ya kutangazwa kuwa mshindi katika uchaguzi uchaguzi huo ulioanza jana na kutamatika leo, ...
Lakini sasa amerudi nyumbani "kuandika ukurasa mpya" kwa nchi yake. Tundu Lissu, wakili mwenye umri wa miaka 55, alierejea nyumbani kwa kipindi kifupi kuwania urais mwaka 2020, amerudi tena kwenye ...