Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Othman Masoud Othman amesema kuna haja Serikali kuongeza kasi ya utoaji elimu ya ...
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Othman Masoud Othman amesema kuna haja Serikali kuongeza kasi ya utoaji elimu ya ...
Waumini wa dini ya Kiislam Afrika Mashariki wameanza rasmi mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhani. Visiwani Zanzibar, wakaazi wengi ni waumini wa dini ya Kiislam, sasa wakati mafundisho na miongozo ...
Machi 17, 2025 imetimia miaka minne tangu John Pombe Magufuli, rais wa tano wa Tanzania afariki dunia. Alikuwa mmoja ya ...
kiongozi huyo alieleza kuwa mkopo huu utawezesha utekelezaji wa miradi muhimu ya kijamii na kiuchumi, ambayo itakuwa na athari chanya za moja kwa moja kwa maisha ya watu wengi na kuchochea maendeleo ...
Makalla amedokeza kuwa kitendo cha Lissu kusema kwa upande wa Zanzibar wakichaguliwa wabunge 50 ni sawa na kura za jimbo moja sio sawa na kuwa ni ... Ameongeza; “Vipo vyama vya siasa vinaubaguzi kwa ...
Mamlaka katika mji wa Ofunato, kaskazini-mashariki mwa Japani, zinazingatia iwapo zitaondoa amri zaidi za kuwahamisha watu zilizotolewa kwa sababu ya moto wa mwituni. Wanasema hakuna moto mpya ...
Lugha ni muhimu kwa elimu na maendeleo endelevu, zikitumika kama njia kuu ambayo maarifa hupitishwa na tamaduni kuhifadhiwa. Kwa mujibu wa taarifa iliyo chapishwa katika tovuti ya Umoja wa ...
Pretoria imekuwa moja ya sauti kuu za watu wa Palestina kwa kuwasilisha malalamiko ya mauaji ya kimbari dhidi ya Israeli katika Ukanda wa Gaza mbele ya Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ).
Siku ya Jumatatu, Waziri Mkuu wa Kongo, Judith Suminwa aliliambia Baraza la Haki za Binaadamu kuwa takribani watu 7,000 wameuawa tangu mwezi Januari, wakati ambapo jeshi la Kongo na makundi ...
Hosted on MSN19d
Dama fires subtle jabs at netizens celebrating brother's business launch: "Wakome familia za watu"“Watu watakoma familiar za wengine, wako wapi wale wa kudance kwa shop zangu Monday bila aibu? Kuuza spares sio shangwe na nderemo,” she remarked.
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results