Amesema maisha ni mchezo wa kuigiza, hivyo kuna maisha mtu anapenda yaonekane na mengine ni siri lakini baadhi ya watu bila kujua wanasamabza taarifa za watu jambo ambalo ni kosa kisheria. “Unakuta ...
Taasisi ya Uhusiano wa Umma Tanzania (IPRT) imesaini makubaliano na Msajili wa Hazina Zanzibar kwa ajili ya uratibu wa pamoja katika kuandaa tuzo za umahiri katika mawasiliano ya umma Zanzibar yaani ...
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Othman Masoud Othman amesema kuna haja Serikali kuongeza kasi ya utoaji elimu ya ...
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Othman Masoud Othman amesema kuna haja Serikali kuongeza kasi ya utoaji elimu ya ...
Machi 17, 2025 imetimia miaka minne tangu John Pombe Magufuli, rais wa tano wa Tanzania afariki dunia. Alikuwa mmoja ya ...
Karibu watu 80,000 wamekimbia mapigano kati ya vikosi vya serikali ya Congo na waasi wa M23 wanaoungwa mkono na Rwanda hadi nchi jirani, na takriban watgu 61,000 wamewasili Burundi tangu Januari, ...
Kwa mujibu wa PDPC, ni muhimu kwa wamiliki wa nyumba za kulala wageni na taasisi nyinginezo kuzingatia sheria hiyo ili kuepuka kuvunja haki za faragha za watu. Wangwe alisema tangu kuwepo kwa sheria ...
Tyla has won the Best Female Artist award at the Trace Awards in Zanzibar, beating notable nominees like Makhadzi and Ayra Starr Fans celebrated Tyla's win, praising her international impact on the ...
Katibu Mkuu amekiri kuhusu uongozi wa muda mrefu wa Marekani katika juhudi za kibinadamu duniani, akibainisha kuwa ukarimu wa Marekani kihistoria unawaunga mkono zaidi ya watu milioni 100 kila mwaka.
“Tumejizatiti kusaidia juhudi zinazolenga kuunda suluhisho za AI zinazozingatia muktadha wetu wa lugha na tamaduni za Tanzania,” alisema Lilian.