CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Mara kimeketi kikao maalumu kwa ajili ya kujadili mambo mbalimbali ikiwamo tuhuma zilizotolewa na Mbunge wa Tarime Vijijini, Mwita Waitara. Wiki iliyopita Waitara aki ...
Rais wa Marekani Donald Trump amesema siku ya Alhamisi, Februari 13, kwamba maafisa wa Marekani na Urusi watakutana siku inayofuata mjini Munich, Ujerumani, ambako mkutano wa kila mwaka wa usalama ...
Pagan Amum, kiongozi wa vyama vya kisiasa vya upinzani Sudan kusini na pia kiongozi wa kundi la kiisiasa la Real Sudan People’s Liberation Movement, anatueleza jinsi mazungumzo hayo ya kurejesha ...
Marcus Rashford ana matumaini ya kujiunga na Barcelona msimu huu wa joto, Atletico Madrid wanamfuatilia kwa karibu Jean-Philippe Mateta wa Crystal Palace, huku Manchester City inamchukulia Charles ...
Maelezo ya picha, Adrián Simancas alikuwa akiogelea alipokaribia kumezwa na nyangumi mwenye nundu. 15 Februari 2025 "Nilikuwa na wasiwasi kidogo kama ningeweza kutunza pumzi yangu kwa sababu ...
Kuna malalamiko kutoka mbunge wa jimbo la Tarime Vijijini Mwita Waitara, aliyedai kuna kigogo anazurura jimboni akitumia gari la serikali na kugawa rushwa kwa baadhi ya walengwa hususan wahusika vikao ...
A new Christian school for girls has opened in Tarime, a town close to the Kenyan border in the far northwest of Tanzania. The local Anglican Bishop, Mwita Akiri, visited Australia last year and ...
Elvis (19), alifariki dunia Februari 10, 2025 Mjini Tunduma mkoani Songwe na kuzikwa jijini Dar es Salaam Februari 14, 2025 huku ndugu wakidai kigogo wa polisi mkoani humo ndiye amehusika kwa mauaji ...
Vijana hao wasichana na wavulana ambao wanakadiriwa kuwa na umri wa miaka 18 hadi 2,2 wamekutwa mjini Mlandizi, Mkoa wa Pwani ambapo inadaiwa kuwa wamekuwa wakitumia njia inayoendana na upatu ili ...