WAKATI kikosi cha timu ya taifa jana kikiwasili Morocco tayari kwa mchezo wa kufuzu kombe la Dunia dhidi ya timu ya taifa ya ...
Yanga imeweka ngumu ikisema haitatia timu kwenye mchezo namba 184 dhidi ya Simba ambao uliota mbawa, baada ya kushindwa ...
WAKATI Simba ikiandaa kaulimbiu mpya kuelekea katika michezo yake miwili ya robo fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika, iliyopewa jina la 'Hii Tunavuka', ili kutoa hamasa kwa wanachama na mashabiki, w ...
Timu ya Simba imetangulia hatua ya robo fainali ya michuano ya Kombe la Shirikisho (FA), baada ya jana kuichapa Bigman FC inayoshiriki Ligi ya Championship kwa mabao 2-1, katika mchezo ...
NYOTA wawili muhimu katika vikosi vya Yanga na Simba, kiungo Khalid Aucho na kipa Moussa Camara wameibua hofu katika timu ...
SIMBA inakwenda Misri kucheza mechi ya mkondo wa kwanza wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Al Masry huku ikipiga hesabu ...
DAR ES SALAAM; TIMU ya Bigman FC imetamba kuwa itadhihirisha ukubwa wake kesho watakapocheza na Simba mchezo wa Kombe la ...
KIUNGO mshambuliaji wa Simba, Elie Mpanzu amesema anaamini bado hajaonesha uwezo wake wote katika timu hiyo. Mpanzu ...
Kikosi cha Simba kinatarajia kuondoka Machi 28,2025 kuifuata Al Masry nchini Misri kwa mchezo wao wa robo fainali ya Kombe la ...
Wakati huu, Urusi imechagua timu ya mazungumzo yenye wasifu tofauti sana na mara ya kwanza. Ujumbe uliopita uliongozwa na Sergei Lavrov, mkuu wa diplomasia ya Urusi. Wakati huu, Moscow inatuma ...