UBALOZI wa Kenya uliopo Kinshasa, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), umeshambuliwa na waandamanaji wenye hasira wakipinga mzozo unaoendelea mashariki mwa nchi hiyo. Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ...
Rais wa Chad Mahamat Idriss Deby ameikaribisha hatua ya kujiondoa kikamilifu kwa majeshi ya Ufaransa nchini humo, alama inayoashiria ukomo wa Ufaransa kuwepo kwenye eneo la Sahel lililoathiriwa na ...
Senator, Dr. Rasha Kelej, CEO of Merck Foundation and President of“More Than a Mother” Campaign has been recognized as One of the 100 Most Influential African Women 2024 for the sixth ...
Senator, Dr. Rasha Kelej, CEO of Merck Foundation and President of “More Than a Mother” Campaign has been recognized as One of the 100 Most Influential African Women 2024 for the sixth consecutive ...
Ndege ya abiria imeshika moto katika uwanja wa ndege mjini Busan nchini Korea Kusini jana Jumanne usiku, lakini kila mmoja aliyekuwemo ndani ya ndege hiyo aliweza kutoka.
CONGO: WAFANYAKAZI wawili katika ubalozi wa Kenya katika mji mkuu wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Kinshasa, walilazimika kutoroka na kutafuta hifadhi baada ya waandamanaji kuvamia jengo hilo na ...
Mkutano wa viongozi wa Afrika kuhusu nishati ukipatiwa jina Mission 300 umekunja jamvi jijini Dar es Salaam nchini Tanzania kwa kuzindua Mikataba ya Nishati ya Kitaifa kutoka nchi 12 za barani Afrika, ...
Mradi huo ambao pia utainufaisha nchi ya Kenya, Tanzania pekee wasichana 200,000 wenye miaka tisa watapatiwa huduma ya chanjo ya kuwakinga na saratani ya mlango wa kizazi (HPV) na wasichana 600,000 ...
GOMA : MAPIGANO katika mji wa Goma, mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, yamesababisha vifo vya watu 17 na majeruhi 370. Jeshi la Congo linaendelea kupambana na waasi wa M23 wanaoungwa ...
Suzuki Osamu, rais na mwenyekiti wa zamani wa kampuni ya magari ya Japani ya Suzuki Motor, ametunukiwa tuzo baada ya kufariki kutoka kwa serikali ya India kwa mchango wake muhimu nchini humo.
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results