tangu ilipoanzishwa Jamhuri ya Muungano wa Ujerumani zaidi ya miaka 75 iliyopita.Bunge la ujerumani lajadili sera kali za uhamiaji Kiongozi wa upinzani Friedrich Merz kwa upande wake amesema ...
Muungano wa kihafidhina nchini Ujerumani wa CDU/CSU umesema utaendelea na mpango wake wa kuupigia kura muswada tata unaolenga kudhibiti uhamiaji bungeni, licha ya mazungumzo ya dakika za mwisho ...
M23 inayoungwa mkono na Rwanda yuko rasmi katika mji mkuu wa mkoa wa Kivu Kusini, Bukavu, tangu mapema Jumapili asubuhi.
Kiongozi wa kanisa katoliki Papa Francis amelaani, siku ya Jumanne, Februari 11, kufukuzwa kwa wingi kwa wahamiaji, hatua ...
MAREKANI imeongeza maradufu idadi ya wafungwa wanaodhaniwa kuwa tishio kubwa pamoja na wale wanaosubiri kurejeshwa makao ...
Huku Utawalwa wa Trump ukiimarisha juhudi za kuwagundua na kuwatimua wahamiaji haramu, jamii ya Waafrika nchini Marekani ina ...
Tangu kuanzishwa kwake mwaka wa 2012, shirika lisilo la kiserikali la Roots to Glory lenye makao yake huko Maryland, Marekani ...
LINDI: CHAMA cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Wakili Ipilinga Panya amemuomba Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kutoa kauli ya ...
Muungano mkubwa zaidi wa vyama vya upinzani nchini Ujerumani umewasilisha bungeni hoja ya kubana zaidi sheria za uhamiaji ukisaidiwa na chama kinachochukuliwa kuwa cha mrengo wa mbali kulia.
Yeyote anayezaliwa nchini Marekani amepatiwa uraia moja kwa moja bila kujali hadhi ya uhamiaji ya wazazi wake. Lakini Trump Jumatatu wiki hii alitia saini amri ya rais kupitia upya sheria hiyo ...
Kesi ya Kikatiba iliyofunguliwa na Wakili Peter Madeleka akihoji wachezaji nyota watatu wa timu ya Singida Black Star (SBS), ...
Idara ya Uhamiaji Tanzania imetangaza majina ya vijana 331 waliochaguliwa kujiunga na mafunzo ya idara hiyo kuanzia Machi 1, ...