Ili kukabiliana na changamoto ya ajira kwa vijana nchini, walimu wametakiwa kuweka nguvu katika somo la kilimo kuwasaidia wanafunzi wanaohitimu elimu ya sekondari na kuendelea.
NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk Doto Biteko amesema Serikali ya Tanzania imejizatiti kuboresha na kuimarisha sekta ...
Serikali imetoa zaidi ya shilingi bilioni 5 kuboresha miundombinu na kununua vifaa tiba vya kisasa katika Hospitali ya Taifa ...
Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Ali Mwinyi amesema mpango wa kukagua magari kwa macho sasa basi, badala yake magari yote ...
MBUNGE wa Jimbo la Arusha Mjini, Mrisho Gambo, ameitaka serikali kutoa ufafanuzi kuhusu ucheleweshaji wa utekelezaji wa mradi ...
MBUNGE wa Jimbo la Arusha Mjini, Mrisho Gambo, bungeni jijini Dodoma, TAMISEMI, Mohamed Mchengerwa, Rais Samia Suluhu Hassan.
Wasanii wa Muziki Afrika na Duniani kote wanakutana visiwani Zanzibar kufurahia uzuri na Upekee wa Muziki, wageni mbalimbali hukusanyika kushuhudia Tamasha la Sauti za Busara kila ifikao mwezi ...
Kundi la wapiganaji wa M23 limeapa kuendelea na mapigano yao nchini Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo+++Serikali za Tanzania na Burundi zimesaini makubaliano ya ujenzi wa reli ya kisasa yenye urefu ...
Hawa sio waigizaji wako wa jadi wabaya; wao ni waendeshaji wa kisasa wanaotumia AI kupanua mipango yao ya uhalifu wa mtandao kutoka kwa mashambulizi ya mtu binafsi hadi kampeni za utaratibu wa vita ...
MANCHESTER, ENGLAND: RUBEN Amorim amesema pengine Manchester United hii ni mbovu zaidi kuwahi kutokea kwenye historia ya klabu hiyo. Kocha huyo Mreno mwenye umri wa miaka 39, amesema hilo baada ya Man ...
Abdallah amesema kuwa lengo la ujenzi wa jengo hilo ni kuhakikisha utoaji huduma katika sekta ... Mtendaji Mkuu ameeleza kuwa maabara ya kisasa ndani yake itawezesha kuhifadhi vifaa ambavyo kitaalamu ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results