UKAGUZI wa kiufundi na kiufanisi wa ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa Msalato, jijini Dodoma uliofanywa na Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), umebainisha dosari kadhaa katika utekelezaj ...
Serikali imetoa zaidi ya shilingi bilioni 5 kuboresha miundombinu na kununua vifaa tiba vya kisasa katika Hospitali ya Taifa ...
Donald Trump ametangaza siku ya Jumanne kwamba Marekani "itadhibiti Ukanda wa Gaza" wakati wa mkutano na waandishi wa habari ...
Asilimia 80 ya Mji Mkongwe wa Mosul, kwenye ukingo wa magharibi wa Tigris, uliharibiwa wakati wa uvamizi wa IS kwa miaka ...
Moto huo umeteketeza zaidi ya kilomita za mraba 200, na kuharibu zaidi ya majengo ... ufikiaji wa Pacific Palisades vitaondolewa leo Jumapili. Lakini urejeshaji wa hali ya kawaida na ujenzi ...
Bunge limepitisha nyongeza ya mapato na matumizi ya jumla ya Sh945.7 bilioni kwa ajili ya nyongeza kwenye Bajeti ya Serikali ya mwaka 2024/25 kutoka Sh49.346 trilioni zilizoidhinishwa Juni ...
Mradi wa ujenzi wa Chuo Kikuu Ardhi (ARU) Kampasi ya Sengerema utakaoanza Februari 15, 2025, katika Kijiji cha Kalumo, Kata ...
MOROGORO ni miongoni mwa miji michache nchini yenye umaarufu kutokana na mchango wake kwenye harakati za ukombozi ...
Mchengerwa ametoa agizo hilo katika hafla ya utiaji saini wa mkataba wa ujenzi wa Soko Kuu la Majengo na vituo vya daladala jijini Dodoma kupitia mradi wa uboreshaji miundombinu ya Miji (TACTIC) awamu ...