MBUNGE wa Jimbo la Itilima, Njalu Silanga, amesema wilaya hiyo imepiga hatua kubwa kimaendeleo baada kuipatia takribani Sh.
Umoja wa Mataifa, UN unasema urejeshaji wa maisha ya kawaida na ujenzi mpya wa Ukanda wa Gaza baada ya uharibifu uliosababishwa na mashambulizi ya Israel unakadiriwa kuhitaji dola zisizopungua bilioni ...
Bunge limepitisha nyongeza ya mapato na matumizi ya jumla ya Sh945.7 bilioni kwa ajili ya nyongeza kwenye Bajeti ya Serikali ya mwaka 2024/25 kutoka Sh49.346 trilioni zilizoidhinishwa Juni ...
Rais mstaafu Jakaya Kikwete yupo wilayani Bukombe kwa ziara ya siku moja, atahudhuria mkutano maalumu wa Chama cha Mapinduzi ...
Urusi inaonekana kuwa na nia ya kuongeza uzalendo miongoni mwa wakazi katika visiwa vinne ambavyo Japani inaviita Maeneo ya ...
WANAFUNZI wa shule ya Sekondari Mkabuye iliyopo wilaya ya Kibondo mkoani Kigoma wametoa shukrani zao kwa Rais Samia Suluhu ...
SIKU chache baada ya Nipashe kuchapisha ripoti kuhusu madhila yanayowakumba wanafunzi na walimu wa Shule ya Msingi Lipumba ...
Coly Dione ni Mwalimu Mkuu wa shule ya Msingi Serere. “Kutokana na maendeleo ya teknolojia ya habari na mawasiliano, TEHAMA, tunahitaji sana kuwapatia wanafunzi Tableti ili wajifunzie. Hivyo ilibidi ...
Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara, Dkt. Hashil Abdallah amempongeza na kumshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kuwezesha ujenzi wa Jengo la Ofisi Kuu ya Wakala wa Vipimo (WMA) jijini Dodoma ...
Meanwhile the WA Liberals have promised to introduce new laws allowing courts to send repeat drug offenders to rehabilitation. Public transport fares would drop to a flat fee of $2.80 for ...
SINGIDA: MKUU wa Wilaya ya Iramba mkoani Singida Suleiman Mwenda na Katibu Tawala Mkoa wa Singida Dk Fatma Mganga wamefanya ziara kukagua miradi mbalimbali ya ujenzi wa shule za msingi na sekondari.
Wakala wa Nishati Vijijini (REA) kwa kushirikiana na Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) inafanya utafiti wa tatu wa hali ya upatikanaji na matumizi ya nishati katika mikoa yote ya Tanzania Bara. Hayo ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results