Anasema mchakato wa kuanzishwa kwa chuo kikuu hicho ulianza baada ya Rais wa Awamu ya Tano, Dk Salmin Amour Juma kuunda timu ...
Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) imekiri kuwepo kwa changamoto nyingi zinazowakabili watumishi wa kada ya ununuzi katika kutekeleza majukumu yao, ikiwemo kukosekana kwa kanzidata yao.
Kulingana na hati ya kiapo, Nyakahemba anaeleza kuwa mwaka 2007 aliajiriwa kama muuguzi daraja la pili na wakati anaajiriwa, alitakiwa kuwa na elimu ya darasa la saba, pamoja na sifa zingine, ...
CHAMA cha Walimu Tanzania (CWT) kimeitaka serikali kuwachukulia hatua ikiwezekana kuwaondoka katika nafasi zao watumishi ...