Mbio za ubingwa wa Ligi Kuu Bara zimeshika kasi na kufikia patamu. Licha ya kwamba hadi sasa ubingwa huo kuwa wazi kwa timu tano, lakini Simba na Yanga wakionekana na nafasi nzuri.
MBIO za ubingwa wa Ligi Kuu Bara zimeshika kasi na kufikia patamu. Licha ya kwamba hadi sasa ubingwa huo kuwa wazi kwa timu ...
Fainali za mataifa ya Afrika kwa wachezaji wa ndani (Chan) 2024 na fainali za mataifa ya Afrika (Afcon) 2027 zitafanyika ...
Miaka ya 1980 na hata nusu ya kwanza ya miaka ya 1990 hakukuwa na tofauti kubwa ya nguvu za kiuchumi na ufundi kati ya soka ...