Rais Boakai amepokelewa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Kazi, Uchumi na Uwekezaji wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Shariff Ali Shariff alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius ...
WAKATI inatarajia kuwakaribisha Kagera Sugar katika mechi ya Ligi Kuu Tanzania Bara itakayochezwa leo kwenye Uwanja wa KMC Complex, Dar es Salaam, benchi la ufundi la Yanga limesema wana michezo 15 ya ...
Mbio za ubingwa wa Ligi Kuu Bara zimeshika kasi na kufikia patamu. Licha ya kwamba hadi sasa ubingwa huo kuwa wazi kwa timu tano, lakini Simba na Yanga wakionekana na nafasi nzuri.
MBIO za ubingwa wa Ligi Kuu Bara zimeshika kasi na kufikia patamu. Licha ya kwamba hadi sasa ubingwa huo kuwa wazi kwa timu ...
Fainali za mataifa ya Afrika kwa wachezaji wa ndani (Chan) 2024 na fainali za mataifa ya Afrika (Afcon) 2027 zitafanyika ...
Miaka ya 1980 na hata nusu ya kwanza ya miaka ya 1990 hakukuwa na tofauti kubwa ya nguvu za kiuchumi na ufundi kati ya soka ...
Serikali ya DRC imesema bado vikosi vyake vinadhibiti maeneo ya kimkakati ikiwemo uwanja wa ndege. Zaidi ya raia 200 wameuawa katika maeneo yaliyotekwa na M23, viongozi wa eneo hilo walisema Alhamisi.
DODOMA: WAZIRI wa Uchukuzi Prof Makame Mbarawa ameziagiza mamlaka zinazosimamia mradi wa ujenzi uwanja wa ndege wa kimataifa wa Msalato, mkoani Dodoma kuhakikisha mkandarasi wa mradi huo anaongeza ...
GAVANA wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Emmanuel Tutuba amependa ushirikiano unaofanywa baina ya Kampuni Airpay Tanzania na Wakala wa Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi Zanzibar (ZEEA) katika kuwafanya ...
Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa, CPA Amos Makalla amesema Soko la kisasa la Chuwini litaleta Mapinduzi makubwa ya kiuchumi kwa wananchi Zanzibar. Amesema hayo leo Ijumaa Januari ...
Shirika hilo limesisitiza kuwa “Kurejea kwa huduma muhimu haraka ni muhimu, vile vile kulinda akiba za msaada na kuwezesha utoaji wa huduma za dharura kwa majeruhi”. Pcha imeonya kuwa kufungwa kwa ...
mji mkuu wa mkoa wa Kivu Kaskazini, mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), pamoja na eneo lililo karibu na uwanja wa ndege. Milio ya risasi ya hapa na pale imesikika leo asubuhi ...