SERIKALI imekuwa ikifanya jitihada mbalimbali za kuhakikisha inalipaisha zao pamba kwenye uzalishaji pamoja na kuliwezesha ...
Mfumo wa usajili wa maombi na taarifa za wanufaika wa mikopo ya asilimia 10 inayotolewa na halmashauri kupitia mtandao wa ...
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko, amesema serikali imejizatiti kuboresha na kuimarisha sekta ya kilimo ...
Wakulima wa mwani kisiwani Unguja wameeleza ukosefu wa mbegu bora za uzalishaji zao hilo hivyo kurudisha nyuma jitihada zao.
NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk Doto Biteko amesema Serikali ya Tanzania imejizatiti kuboresha na kuimarisha sekta ...
Rais wa Marekani Donald Trump ameweka ushuru wa asilimia 25 kwa bidhaa zote za chuma na alumini zinazoagizwa kutoka nje.
Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo, DRC imewasilisha kesi dhidi ya Rwanda katika Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu kwa ...
NCHI nane kutoka Afrika na Ulaya zinatarajia kushiriki maonesho ya kwanza ya teknolojia ya nguvu ya nishati na umeme jadidifu ...
Waziri Mkuu wa Mauritius, Navin Ramgoolam amesema siku ya Jumanne kwamba amefikia makubaliano mapya "tayari kutiwa saini" na Uingereza juu ya udhibiti wa Visiwa vya Chagos, visiwa vya kimkakati ...
Al-Burhan amekagua wanajeshi wa jeshi na vikosi vya washirika, vinavyojulikana kama ... kuwezesha usafirishaji wa vifaa na uimarishaji. Al-Shahid aliongeza kuwa udhibiti wa jeshi juu ya Um Rawaba ...
*Ni katika urejeshaji wa mikopo Na Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital GAVANA wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Emmanuel Tutuba amependa ushirikiano unaofanywa baina ya Kampuni ...
amesema vifaa hivyo viko kwenye maabara ya NTSB kwa ajili ya kufanyiwa uchunguzi. China imepeleka salamu ya pole kufuatia ajali hiyo iliyosababisha vifo vya watu wote 67 waliokuwemo kwenye ndege ...