Ni mwanasiasa jabali aliyewahi kutokea na kuishi katika visiwa vya Zanzibar huku akipendwa mno na wafuasi wake, akiaminiwa kulikovuka mipaka na kuwa kiongozi aliyekuwa akisikizwa, huku watu wakimtii ...
Kikosi cha Kujihami cha Ardhini cha Japani na Jeshi la Wanamaji la Marekani wanafanya mazoezi ya pamoja kusini magharibi mwa Japani ili kuimarisha ulinzi wa visiwa vya mbali vya Japani. Huu ni ...
Taarab Asilia ni Miongoni mwa Miziki ya kale zaidi katika Mwambao mwa Bahari ya Hindi, Zanzibar Taarab Hertage Ensemble ni miongoni mwa Makundi ya Muziki huo kutoka Visiwani Zanzibar, Ungana na ...
WAZIRI wa Uchukuzi, Profesa Makame Mbarawa amesema ujenzi wa viwanja vya ndege vinne hapa nchi umejenga historia kubwa na matumaini yameonekana kuanza kukamilika kwake baadhi ya maeneo kwenye viwanja ...
Moja ya boti tano za dharura zilizozinduliwa kutoa huduma za afya katika visiwa vidogovidogo Zanzibar “Lengo la serikali ni kuhakikisha wagonjwa wanafikishwa katika huduma kwa wakati, ili kupunguza ...
Amesema Boti hizo ni sehemu ya uimarishaji wa huduma za dharura na mfumo wa Rufaa kwa Wagonjwa wanaotoka kwenye Visiwa wanaopewa Rufaa kutoka vituo vya Afya kwenda Hospitali za wilaya, Mkoa na Taifa.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo Jumanne Februari 18, 2025 na TMA imeeleza kuwa baadhi ya maeneo machache ya mikoa hiyo yatakuwa na hali ya mawingu kiasi, mvua na ngurumo sambamba na vipindi vya ...
TANZANIA imepata ugeni mkubwa wa zaidi ya marais 25, Mawaziri Wakuu na Manaibu Mawaziri Wakuu, Mawaziri wa Fedha na Nishati 60 wa Afrika, ambao wako nchini kushiriki mkutano wa Nishati wa Mission 300.
Jana Jumanne, maafisa wa ulinzi wa pwani walisema boya hilo lilionekana mwezi Julai mwaka 2023 katika eneo la bahari kaskazini magharibi mwa Visiwa vya Senkaku vilivyopo mkoani Okinawa ...
Alibainisha kuwa wakati mahitaji ya maji yanaongezeka, mabadiliko ya tabianchi na kuongezeka kwa shughuli za binadamu karibu na vyanzo vya maji vimekuwa changamoto kubwa. “Suluhisho letu la haraka ni ...
safari pekee zilizofanyika ni kati ya Bukavu na kisiwa cha Idjwi napia kati ya Idjwi na visiwa vingine vya ziwa Kivu ambamo wakazi wanatumia mitumbwi katika mahusiano yao. Hatuwa hii ya gavana ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results