Wiki iliyopita, Zanzibar iliadhimisha Siku ya Sheria, kama ilivyofanyika Tanzania Bara na katika mataifa mengi duniani.
Maalim aliteuliwa kuwa kushika wadhifa huo kuunda Serikali ya Umoja wa Kitaifa (SUK) visiwani humo, baada ya kuibuka mshindi ...
MTANDAO wa Wanaharakati wanaopinga usafirishaji haramu wa binadamu (TANAHUT), umetaja mikoa inayoongoza kwa biashara hiyo huku visiwa vya Zanzibar na Dar es Salaam, ikiongoza. Akizungumza jana jijini ...
Unguja. The political landscape in Zanzibar is shaping into one of anticipation as the island nation gears up for the October 2025 General Election. The Opposition ACT-Wazalendo national Chairman and ...
SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) imepiga hatua kwenye uwekezaji katika ... Alisema serikali imetangaza visiwa 21 kwa awamu ya kwanza kwa ajili ya uwekezaji na tayari visiwa 15 vimepata ...
Zanzibar ilipata uhuru kamili mnamo Desemba 10, 1963, kutoka kwa Uingereza, Waarabu walio wachache walifanikiwa kushika madaraka waliyorithi kutoka kwa Zanzibar kuwepo kama eneo la ng'ambo la Oman.
Ngoja tumuone safari hii huenda bao lake la fainali kule Pemba kwenye Kombe la Mapinduzi linaweza kutuletea Hilika ambaye alifanya wakazi wa visiwa vya Zanzibar kumpa jina la Straika wa Nchi. NYOTA wa ...
MICHUANO ya Kombe la Mapinduzi (Mapinduzi Cup) ambayo hufanyika kama sehemu ya maadhimisho ya Mapinduzi Matukufu ya visiwa vya Zanzibar yalitamatika juma hili. Tofauti na mashindano ya miaka ya hivi ...
Katika uongozi wa Karume, serikali ilijitahidi kujenga barabara, viwanja vya ndege, viwanda na kui marisha kilimo hasa kilimo cha zao la karafuu lililoipatia Zanzibar umaarufu mkubwa kiasi cha kuitwa ...
"Tunasisitiza wito ambao tumekuwa tukitoa kwa muda mrefu kwa Rwanda kuondoa mara moja wanajeshi na vifaa vyote vya Jeshi la Ulinzi la Rwanda kutoka DRC," inabainisha taarifa kwa vyombo vya habari.
Mkurugenzi Mkuu wa ZIPA, Saleh Saad, alisema mabadiliko na ukuaji na uwekezaji katika visiwa vya Zanzibar ni makubwa. Uzinduzi wa mradi huo wa hoteli ya Bawe ni sehemu ya maadhimisho ya miaka 61 ya ...
Maafisa wanasema walithibitisha visa 39 hadi kufikia jana Jumamosi ambapo meli za serikali ya China ziliingia katika maeneo ya maji ya Japani kuzunguka Visiwa vya Senkaku. Idadi hiyo ni karibu ...