Aidha, jiji hili linahudumu kama lango la vivutio maarufu vya utalii, likiwemo Hifadhi ya Serengeti, Mlima Kilimanjaro, na visiwa vya Zanzibar. Afrika Kusini ni mwekezaji mkubwa nchini Tanzania, hasa ...
Majadiliano na wadau hao wa Sekta ya utalii yaliwahusisha wawakilishi kutoka TAWA ambayo iliwakilishwa na Kamishna Msaidizi ...
Tangu ameingia madarakani, tuzo mbalimbali zimemiminika kwa Rais Samia kwenye sekta za utalii, miundombinu, utawala bora na ...
GAVANA wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Emmanuel Tutuba amependa ushirikiano unaofanywa baina ya Kampuni Airpay Tanzania na Wakala wa Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi Zanzibar (ZEEA) katika kuwafanya ...
Kupitia kazi yake, mandhari ya kuvutia ya Tanzania yaliwasilishwa kwa ubora wa hali ya juu, jambo ambalo linatarajiwa kuongeza mvuto wa utalii nchini. “Ilikuwa safari ya kipekee kushiriki katika ...
Wataalam wa ufundi kama makocha, waamuzi na madaktari wa tiba za michezo kutoka Zanzibar wamefanya vizuri katika viwango vya taifa mpaka viwango vya FIFA. Kwa tunaofuatilia kwa karibu historia na ...
Unguja. The political landscape in Zanzibar is shaping into one of anticipation as the island nation gears up for the October 2025 General Election. The Opposition ACT-Wazalendo national Chairman and ...
MAKAMU wa Pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Hemed Suleiman Abdulla amesema filamu ya The Tanzania Royal Tour imechangia sekta ya utalii kuchangia pato la taifa kwa asilimia 30 huku ...
Zanzibar ilipata uhuru kamili mnamo Desemba 10, 1963, kutoka kwa Uingereza, Waarabu walio wachache walifanikiwa kushika madaraka waliyorithi kutoka kwa Zanzibar kuwepo kama eneo la ng'ambo la Oman.
Mwenyekiti wa Jumuiya ya wavuvi Zanzibar Omar Makame Mohamed akizungumza katika mkutano wa tathmini ya vifaa vya kutambua mwenenedo wa wavuvi baharini Zanzibar Unguja. Baada ya kufungwa vifaa maalumu ...