Sherehe za sikukuu, mbali na kutoa fursa kwa watoto kucheza na kufurahi, pia ni wakati mzuri wa kutoa mafunzo kuhusu ...
Hii inafuatia kuzuka kwa moto katika baadhi ya sehemu ya uwanja wa ndege wa JKIA kuelekea Barabara ya 75 Airport North. Mamlaka imesema kuwa shughuli zote za viwanja vya ndege, ikiwa ni pamoja na ...
Unguja. Wakati wageni 82,750 wameingia Zanzibar Februari ikiwa ni sawa na upungufu wa asilimia 1.6 ikilinganishwa na ...
Ndege nyingi zililazimika kuelekea kwenye viwanja vingine vya ndege nchini Uingereza na Ulaya. Mamlaka ya uwanja wa Heathrow inasema unatarajia kurejea katika operesheni kamili leo Jumamosi.
ikiwa ni pamoja na kusimamia ujenzi wa viwanja vya michezo katika mikoa ya Dodoma na Arusha. Ujenzi huo utakwenda sanjari na kufanyiwa maboresho kiwanja cha Amani, Zanzibar na kile cha Benjamin ...
Zanzibar, Arusha na Kagera. Kutokea Januari 1 mpaka sasa zaidi ya wasafiri milioni 1.8 wamefanyiwa ukaguzi kwa kupimwa joto la mwili katika vituo vya mipaka 27 ikiwemo viwanja vya ndege na bandari.