Ukuaji wa pato la Taifa Tanzania unatarajiwa kuongezeka hadi kufikia asilimia 6 mwaka huu kutoka asilimia 4.7 mwaka 2022, huku uwezeshaji wa biashara, utengenezaji wa mazingira rafiki ...
Marekani inaishawishi Urusi ikubali kumaliza mzozo na Ukraine. Rais Putin wa Urusi amesema mzozo huo utakoma kwa masharti, masharti ambayo yanakosolewa na Ukraine.
Sherehe za sikukuu, mbali na kutoa fursa kwa watoto kucheza na kufurahi, pia ni wakati mzuri wa kutoa mafunzo kuhusu ...
Alisema katika kutatua changamoto hiyo kukawa na makubaliano kuwa meli hizo zitahudumiwa na Shirika la Bandari Zanzibar (ZPC) ambapo hilo halijatokea kwa Bandari tu hata viwanja vya ndege ambapo ndege ...
SHEIKH Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Walid Alihad, amesema maendeleo ya jamii yoyote yanategemea uchumi na uwekezaji .
Maeneo watakayohamia yatajumuisha viwanja vya ndege vya Fukuoka na Kagoshima. Meli za Vikosi vya Kujihami na Kikosi cha Walinzi wa Pwani cha Japani, pamoja na boti za sekta binafsi na ndege ...
Ndege nyingi zililazimika kuelekea kwenye viwanja vingine vya ndege nchini Uingereza na Ulaya. Mamlaka ya uwanja wa Heathrow inasema unatarajia kurejea katika operesheni kamili leo Jumamosi.
Ametoa wito wa kufunguliwa tena kwa viwanja vya ndege vya Goma na Kavumu. Mabalozi wa DRC, Angola na Burundi, kama Baraza zima, wametoa wito wa mzozo huo usuluhishwe kisiasa. Waziri wa Mambo ya ...
Chad ilikosoa vikali pia kitisho cha Atta, alichokitoa cha kuvilenga viwanja vyake vya ndege kama hatua ya kutangaza vita iliyotolewa Machi 23. Wizara hiyo imesisitiza kwamba Chad ina haki ya ...
Watu sita wamejeruhiwa kwenye ardhi ya Urusi, huku vifusi vya ndege zisizo na rubani vikianguka kwenye uwanja wa shule kwenye ardhi ya Urusi, kulingana na viongozi wa eneo hilo. Ukraine pia ...