Mwakilishi wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA) Lugano Mwinuka, amesema uwanja huo wa Ndege wa Shinyanga, zitakuwa zikitua ndege za masafa ya karibu zenye uwezo wa kubeba abiria 70-76 pamoja ...
SHEIKH Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Walid Alihad, amesema maendeleo ya jamii yoyote yanategemea uchumi na uwekezaji .
Marekani inaishawishi Urusi ikubali kumaliza mzozo na Ukraine. Rais Putin wa Urusi amesema mzozo huo utakoma kwa masharti, ...
Unguja. Wakati wageni 82,750 wameingia Zanzibar Februari ikiwa ni sawa na upungufu wa asilimia 1.6 ikilinganishwa na ...
Alisema katika kutatua changamoto hiyo kukawa na makubaliano kuwa meli hizo zitahudumiwa na Shirika la Bandari Zanzibar (ZPC) ambapo hilo halijatokea kwa Bandari tu hata viwanja vya ndege ambapo ndege ...
Shirika la Madini la Taifa (Stamico) limesema litaendelea kuhamasisha matumizi ya nishati safi ili kuwa na watu wengi ...
The event took place on Wednesday to celebrate her 20th anniversary at Mora Resort in Zanzibar, Tanzania. The event’s focus was on highlighting the diversity and richness of Afro-music.
Waasi wanaoungwa mkono na Rwanda wameteka miji mikubwa miwili ya nchi hiyo, Goma na Bukavu, na viwanja vya ndege, na kukata njia kuu za kutoa misaada kwa mamia yaa maelfu ya watu waliokimbia ...
Viwanja, viatu ni tatizo? Mwanasoka anahitaji miundombinu mizuri kwa maana ya viwanja vya kuchezea pamoja na vifaa sahihi kwa maana ya viatu ili kuonyesha kiwango bora uwanjani kwenye mechi ...
CHAMA cha Mapinduzi (CCM) kimesema kinatathmini uendeshaji wa viwanja vyake vya michezo ili kuangalia uwezekano wa kuuboresha na ikiwezekana kwa kushirikiana na wawekezaji watakaokuwa tayari kufikia ...
Hii inafuatia kuzuka kwa moto katika baadhi ya sehemu ya uwanja wa ndege wa JKIA kuelekea Barabara ya 75 Airport North. Mamlaka imesema kuwa shughuli zote za viwanja vya ndege, ikiwa ni pamoja na ...
WAZIRI wa Uchukuzi, Profesa Makame Mbarawa amesema ujenzi wa viwanja vya ndege vinne hapa nchi umejenga historia kubwa na matumaini yameonekana kuanza kukamilika kwake baadhi ya maeneo kwenye viwanja ...