Mbio za Mwenge wa Uhuru kitaifa zinatarajiwa kuzinduliwa Aprili 2 katika Uwanja wa Shirika la Elimu Kibaha (KEC), mkoani Pwani. Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Abubakar Kunenge, amebainisha hayo alipokuwa ...