Wakati hali ya mashariki mwa DRC ni kitovu cha shughuli kubwa za kidiplomasia, wanasiasa wa Kongo wanaendelea kuguswa na ...
Banduka ambaye ni mzaliwa wa Kijiji cha Mruma, Tarafa ya Ugweno, Wilaya ya Mwanga, Mkoa wa Kilimanjaro, amezikwa leo Jumatano ...
Ni kweli uteuzi wa Rais Samia Suluhu Hassan na Dk Hussein Mwinyi kupeperusha bendera ya CCM uchaguzi mkuu 2025 umeleta maneno ...
Pamoja na umuhimu huo, Tanzania inakabiliwa na changamoto za kiusimamizi zinazokwamisha ufanisi katika ukusanyaji wa kodi.
NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk Doto Biteko amewakaribisha wawekezaji kutoka nchi mbalimbali duniani kuwekeza ...
KUKOSA ufahamu wa masuala ya usawa kijinsia na uhaba wa miundombinu muhimu shuleni ni miongoni mwa vichocheo vinavyowarudisha ...
alipokelewa na Naibu Waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mheshimiwa Festo Dugange,Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mheshimiwa Albert Chalamila pamoja na viongozi wengine wa ...
Katika kikao cha wakuu wa nchi za Afrika Mashariki kilichofanyika juma moja lililopita kwa njia ya mtandao, rais Tshisekedi hakuhudhuria uamuzi ulioibua maswali ikiwa yuo tayari kwa mazungumzo ya ...
Viongozi na wakuu wa nchi zaidi ya 50 za Afrika wanakutana katika mkutano wa bara hilo kuhusu nishati utakaoanza rasmi hivi leo jijini Dar-Es-Salaam huko Tanzania. Ajenda kuu ya mkutano huo ...
Wanajeshi wawili kutoka Tanzania wameuawa nchini DRC kwa mujibu wa Jeshi la Tanzania. Kwa mujibu wa taarifa iliotumwa kwa vyombo vya habari na Jeshi la Ulinzi la Tanzania , wanajeshi hao ...
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan leo anatarajiwa kuongoza wakuu wa nchi wengine wa Afrika katika majadiliano ya pamoja kwenye Mkutano wa Nishati wa Wakuu wa Nchi za Afrika 'Mission 300'.
Wakuu wa nchi wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika, SADC. wako mjini Harare, Zimbabwe kwenye mkutano wa kilele kuhusiana na mzozo unaoendelea mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.