Maonyesho ya mitindo ya watu wenye ualbino umefanyika huko jijini Dar es salaam, Tanzania. Tamasha hilo la 'My Skin, My Pride' yaani Ngozi yanguu, Fahari yangu, lilishirikisha wanamitindo kumi ...
Shindano hilo la kumtafuta bibi na bwana ualbino litaandaliwa tarehe 30 Novemba nchini Kenya ambapo wanamitindo 30 kutoka taifa la Kenya, Uganda na Tanzania watashiriki.