NINAPOONGELEA ngoma zangu bora za wakati wote lazima niitaje 'Kila Wakati' ya Godzilla featuring G Nako. Ile ngoma ilikuwa ya moto na inawezekana ndiyo ngoma ya kwanza ambayo Godzilla ...
KWA zaidi ya miaka 12 kundi la Navy Kenzo limekuwepo katika muziki wa Bongofleva likifanya vizuri na hadi sasa ni miongoni ...
Basata liliwataka wasanii kuacha kutunga nyimbo zinazochochea matumizi ya dawa za kulevya na badala yake ziwe na ujumbe unaopambana na dawa hizo.
Leo Februari 14,2025, ikiwa ni siku rasmi ya kufunguliwa kwa Tamasha la muzuki la Sauti za Busara 2025, Ngome Kongwe, Stone ...