Kadri Tanzania na jumuiya ya kimataifa zinavyojiandaa kusherehekea miaka 30 tangu kupitishwa kwa Azimio la Beijing na Mpango wa Utekelezaji, Shirika la Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP) linaangazia ...
Mwenyekiti wa Chama cha Kutetea Abiria Tanzania (TAKUHA), Solomoni Nkigi, anasema abiria wa makundi yote wana haki ya kupata huduma bora mahali popote, ikiwamo vituo vya abiria. "Nipashe mmefanya ...