Kwa walio wengi ulemavu ... ameikubali hali ya ulemavu wa viungo aliyozaliwa nayo na kuamua kupambania maisha yake. 'Nilitamani kuwa mwanajeshi nchini Tanzania, lakini kutokana na hali ya ulemavu ...
Viongozi na wakuu wa nchi zaidi ya 50 za Afrika wanakutana katika mkutano wa bara hilo kuhusu nishati utakaoanza rasmi hivi leo jijini Dar-Es-Salaam huko Tanzania. Ajenda kuu ya mkutano huo ...
Sheria mpya ya kutwaa ardhi iliyopitishwa inatumika kama ukumbusho wa jinsi ardhi ilivyochukuliwa kwa nguvu kutoka kwa watu weusi walio wengi na serikali ya zamani iliyokuwa na ubaguzi wa rangi.
Freeman Mbowe, ambaye amekuwa Mwenyekiti wa chama hicho kwa kipindi cha miongo miwili, kupitia mtandao wake wa X zamani ukiitwa Twitter amempongeza mrithi wake na mkamu wake wa zamani Tundu Lissu ...
SINA lengo la kumshushia mtu heshima; ukweli mchungu ni lazima usemwe. Wasanii wa hip hop wa Tanzania ni vichwa kuliko wanaofanya muziki wa kuimba a.k.a wasanii wa Bongofleva kama tulivyozowea kuwaita ...
"Hawa wasanii wa sasa wanafanya pop sana. Lakini nahisi kuna kitu nilikuwa nakipata kwenye muziki wa Tanzania kwa sasa sijui nakipata wapi. Nadhani Amapiano imechukua nafasi sana, kuna kitu ...
Gulliver’s Tavern publican Darren Spackman made the remark in a Facebook post accompanying a picture of a smashed window at his venue in 2022. Wetland-adjacent local governments have been ...
Mapana alitoa wito huo, Februari 7, 2025, jijini Dar es Salaam, wakati akizindua Kamati Kuu ya Uendeshaji wa Tuzo za Muziki wa Injili Tanzania (Tanzania Gospel ... alisema tuzo hizo zinalenga kutambua ...
Katika uamuzi wake, Mahakama ya Afrika ilibaini kuwa Tanzania ilikiuka haki ya kuishi inayolindwa chini ya Kifungu cha 4 cha Mkataba wa Afrika, marufuku ya mateso, kutendewa kinyume cha ubinaamu na ya ...
inayodaiwa kuwaonyesha wanajeshi wa Tanzania wakiwa wamezingirwa na kushambuliwa na waasi karibu na uwanja wa ndege wa Goma.Hawa wanaodaiwa kuwa wanajeshi wa Tanzania ni madereva wa trela.
Kadri Tanzania na jumuiya ya kimataifa zinavyojiandaa kusherehekea miaka 30 tangu kupitishwa kwa Azimio la Beijing na Mpango wa Utekelezaji, Shirika la Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP) linaangazia ...